Gotthardt | Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali | E-Book | sack.de
E-Book

E-Book, Swahili, Swedish, 17 Seiten

Gotthardt Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali


1. Auflage 2019
ISBN: 978-87-26-25458-7
Verlag: Saga Egmont International
Format: EPUB
Kopierschutz: Adobe DRM (»Systemvoraussetzungen)

E-Book, Swahili, Swedish, 17 Seiten

ISBN: 978-87-26-25458-7
Verlag: Saga Egmont International
Format: EPUB
Kopierschutz: Adobe DRM (»Systemvoraussetzungen)



Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mkwamba unataka kusaidia wakati wa mapigano dhidi ya maadai wa Vibwengo. Lakini Deizi hakufikiria kuwa ni mkubwa vya kutosha. Mkwamba haujakata tamaa. Pamoja na Mzaha, Kijana wa Zimwi aliinyemelea kambi ya adui. Walikuwa na mpango. Lakini wataweza kuendelea kujificha dhidi ya Makonde ya Chuma na majitu ya kutisha ya mfalme? Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vya 'Hatima ya Vibwengo.' Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

Gotthardt Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali jetzt bestellen!


Ihre Fragen, Wünsche oder Anmerkungen
Vorname*
Nachname*
Ihre E-Mail-Adresse*
Kundennr.
Ihre Nachricht*
Lediglich mit * gekennzeichnete Felder sind Pflichtfelder.
Wenn Sie die im Kontaktformular eingegebenen Daten durch Klick auf den nachfolgenden Button übersenden, erklären Sie sich damit einverstanden, dass wir Ihr Angaben für die Beantwortung Ihrer Anfrage verwenden. Selbstverständlich werden Ihre Daten vertraulich behandelt und nicht an Dritte weitergegeben. Sie können der Verwendung Ihrer Daten jederzeit widersprechen. Das Datenhandling bei Sack Fachmedien erklären wir Ihnen in unserer Datenschutzerklärung.