Gotthardt | Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu | E-Book | sack.de
E-Book

E-Book, Swahili, Swedish, 17 Seiten

Gotthardt Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu


1. Auflage 2019
ISBN: 978-87-26-25459-4
Verlag: Saga Egmont International
Format: EPUB
Kopierschutz: Adobe DRM (»Systemvoraussetzungen)

E-Book, Swahili, Swedish, 17 Seiten

ISBN: 978-87-26-25459-4
Verlag: Saga Egmont International
Format: EPUB
Kopierschutz: Adobe DRM (»Systemvoraussetzungen)



Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha? Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya 'Hatima ya Vibwengo.' Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

Gotthardt Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu jetzt bestellen!


Ihre Fragen, Wünsche oder Anmerkungen
Vorname*
Nachname*
Ihre E-Mail-Adresse*
Kundennr.
Ihre Nachricht*
Lediglich mit * gekennzeichnete Felder sind Pflichtfelder.
Wenn Sie die im Kontaktformular eingegebenen Daten durch Klick auf den nachfolgenden Button übersenden, erklären Sie sich damit einverstanden, dass wir Ihr Angaben für die Beantwortung Ihrer Anfrage verwenden. Selbstverständlich werden Ihre Daten vertraulich behandelt und nicht an Dritte weitergegeben. Sie können der Verwendung Ihrer Daten jederzeit widersprechen. Das Datenhandling bei Sack Fachmedien erklären wir Ihnen in unserer Datenschutzerklärung.